PENGINE NI MWENDELEZO WA HAYA HAPA UDHURU/UZURU
NUKUU TOKA KWENYE POST IITWAYO ''SAKATA LA CHADEMA KUJITEKA NA KUMWAGIA SAED KUBENEA TINDIKALI''
Ilisema...........
Baadaye Mbowe alimwagiza Mnyika kuwataarifu watekaji kuwa wajiweke tayari,
Mnyika alitekeleza agizo hilo lakini kama kawaida yake alitoa uzuru wa kutokuwepo kwenye tukio kwa kusingizia jukumu la kifamilia,
Ikumbukwe hii imekua tabia yake kwa mlolongo ufuatao;-
Wakati kambi ya upinzani bungeni iliazimia kuondoka bungeni kupinga kumtambua Rais Kikwete, Mnyika yeye aliomba ruksa kuwa anaumwa na hakuingia bungeni kwa uoga wake na kwa kumuonea aibu kikwete kwani kikwete alimchangia Mnyika Tsh 5,500,000/= wakati wa kampeni kwa sababu ya kutompenda hawa ng’umbi ambaye aliingia kwa nguvu za lowassa na ndio maana jk alimteua Nape kuwa mkuu wa wilaya masasi wakati wa kampeni,
Kikao cha kumshughulikia Zitto kilichokaliwa kwa Mbowe kilipoiva Mnyika aliomba ruksa na kuondoka,
Kadhalika na kwenye mpango ule wa kutekwa Mnyika alifanya hivyo (alidanganya kuwa mjomba wake ametoka Botswana na hakuna mtu wa kumpokea bali yeye anategemewakumpokea)
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Habari haina mashiko,sijaona pointi hapa
ReplyDeleteUnajua ukisema ukweli UTAHESHIMIKA!
ReplyDeleteUshauri wa BURE!
Acha kujidhalilisha kwa kuandika vitu visivyo na UKWELI!