Tuesday, November 19, 2013
PATA STORY KAMILI HAPO CHINI
Hapa ni baada ya kusoma kwa saa zaidi ya 11, yaani tokea saa moja jioni mpaka saa 11 alfajiri tukiwa tumekamia kile tukiitacho kutoboa Ozone layer mwaka huo nikiwa na Kijana wangu Mabovu aisee hatukuamini tulipotazama saa eti ni saa 12 asubuhi na hatuna hata chembe ya usingizi.
SHULE SI MCHEZO WAKUBWA........UNAWEZA HARIBIKA FACIAL NERVES UKAFANANA NA MZEE WA MIAKA 70 KUMBE UKO UNDER 30
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment