Mwanadada mtangazaji Diva aka the Bawse,
yupo tayari kubadili dini ili aweze kuolewa na mwanaume aitwaye Omar
Borkan, na wala mtangazaji huyo hatojali hata akiwa mke wa ngapi,
ilimradi aolewe na mwanaume huyo. Kupitia mtandao wa instagram
mtangazaji huyo alipost picha ya mwanaume huyo na kuandika manano haya ”
Hata dini ntabadili wallah… Anioe tu huyu kaka … Hata mke wa ngapi poa
@omarborkan isn’t he just a cute man on earth guys?
Omar Borkan ni mwanaume mwenye asili ya
kiarabu na anafanya shughuli za Photographining, mwandishi wa mashahiri
na pia ni Actor kutoka Dubai, mwanaume huyu anamvuto kiasi cha
kuwachanganya wakina dada wengi.
Kutokana na mvuto wake huo, Omar Borkan
alishawahi kuponzwa na umvuto wake alionao kiasi cha kufikia kufukuzwa
katika moja ya sherehe Riyadh na polisi wa kidini ya kiislam. Na pia
kaka huyu alipewa amri ya kuondoka kabisa nchini Saudi Arabia kwa kuwa
atakuwa akiwachanganya wanawake kwa mvuto wake.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment