
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA chini ya M/Kiti wake Mh. Freeman Mbowe inatarajia kukutana kwa siku kuanzia kesho tarehe 20-21/11/2013 katika Hotel ya Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu hii ni ya kawaida kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ambapo pamoja na mambo mengine inatarajia kupokea taarifa za utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya kikao cha Kamati Kuu iliyopita.
Tuwaombee Dua Viongozi wetu
No comments :
Post a Comment