Sunday, November 17, 2013

MZEE MENGI: LAZIMA TUMPELEKE MUHONGO MILEMBE


Bilionea reginald mengi ameandika twitter jana kuwa kama tunalitakia amani hili taifa basi ni lazima watu fulani wapelekwe milembe kwa nguvu na sio kwa hiari yao.
Je,unadhani mengi anataka watu gani wapelekwe milembe na kwa sababu gani?? Karibun

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.