Monday, November 18, 2013

BADO SAGA BICHI KIASI HIKI? CHADEMA NA TAMKO JIPYA KUHUSU SHUTUMA ZA ZITTO.!!

IMETOKA JF

 Picha:Zitto Kabwe.jpg

Chadema imesema inaandaa tamko kujibu kilichosemwa kuwa ripoti ya siri kuhusu zitto kukihujumu chama chake.
Kauli za awali za viongozi wakuu wa chadema zimejikanganya vya kutosha huku zikiacha maswali yasiyojibika. kiufupi ni kumpaka zitto mafuta kwa mgongo wa chupa adhani kuwa yuko nao kumbe ni mambwa mwitu yaliyovaa ngozi ya kondoo.

Nasema ivo kwa sababu ripoti hiyo imesambazwa kwa kasi sana na viongozi wa chadema wa ngazi mbalimbali hadi ngazi ya mkoa na taifa lakini walipoona zitto anakuja juu wakaanza kuikana huku wamei like mitandaoni na kusambaza kutumia majina yao halisi kwenye blog zao na mitandao mingine ya kijamii.
tamko linalosubiriwa la chadema litakuwa kama ifuatavyo;

1.Litakuja na tuhuma dhidi ya idara ya usalama wa taifa, ccm na serikali hususan polisi kuwa ndio wameandaa ripoti ile kwa lengo la kuwachonganisha viongozi wa chadema.

2. Kwamba intelligensia ya chadema iko juu kuliko ile ya ccm, usalama wa taifa na serikali.

3. Migogoro ndani ya chadema inatengenezwa na ccm

4. Chadema itachukua nchi, ha ha h ah ahaaaaaa, sijui nchi ya kaskazini?

5. Kwamba hakuna mgogoro chadema.

My take. kifo cha chadema kwa sasa hakiepukiki kwa sababu zisizozuilika

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.