CHANGAMKIA FURSA..
Ninazo Hekta takribani 100 huko serengeti jirani kabisa na eneo la
mwekezaji yule mwenye singita (sasakwa) hotel na ile ya bilila (hotel
kubwa tz) eneo lafaa kujenga hotel au kituo cha utalii na maonyesho
kamli ya sanaa na vitu kama hivyo. eneo liko kwenye mwinuko na ardhi
yenye rutuba inastawi kila aina ya mmea, kunafaa kujengwa pia chuo cha
mafunzo ya utalii maana international airport ndio inajengwa kwa sasa
hapo serengeti -MUGUMU, anagalizo eneo hilo siuzi bali natafuta watu wa
kuingia nao ubia....
0755023503 / 0714981568
Friday, February 14, 2014
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment