skip to main
|
skip to sidebar
VIJANA WA ZANZIBAR WAONYESHA MFANO WA UZALENDO
BREAKING
NEWS: Kontena lenye urefu wa futi 40 lililojaa pembe za ndovu
limekamatwa kisiwani Unguja mchana huu likitokea bandari ya Dar es
Salaam
Mpaka sasa haijajulikana mzigo huo una thamani ya kiasi gani na raia wawili wa Tanzania wamekamatwa kuisaidia polisi
Kwa mujibu wa Waziri Kagasheki, kontena hilo pia linahisiwa kumilikiwa na raia wa China
No comments :
Post a Comment