skip to main
|
skip to sidebar
TANZANIA YASHIKA NAMBA 4 DUNIANI soma hapa chini ni jambo la kujivunia sana
Tanzania
imekuwa NCHI YA 4 ULIMWENGUNI (Baada ya Sweden, US na Maldives) kuwa na
HOTELI CHINI YA BAHARI. Hoteli inaitwa Manta Resort, iko Pemba. Gharama
yake ni $1,500 per night.
Source: BBC
hiyo ni sifa au ujinga? hoteli hiyo inamsaidia nani? mwekezaji na matajiri wenzake? au yakusaidia wewe? au je yawasaidia watanzania wa kiwango cha kawaida ambao ndo wengi? dola 1500 kwa usiku ndo faraja kwako?
ReplyDelete