Sunday, November 17, 2013
SITTA:LOWASSA NA GENGE LAKE LA RUSHWA WANATAMAA YA URAIS 2015
Sitta: Bilioni 10 za rushwa urais 2015
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta amesema kuna genge la watu wenye uwezo wa pesa wamejipanga kuingia madarakani 2015 kwa njia ya rushwa,
Amedai genge hilo tayari limetenga Sh. Bilioni 10 kwa ajili ya kazi hiyo. Ingawa hakuwataja lakini inasemekana kundi hilo ni lile linalomuunga mkono Lowassa.
Source: Nipashe
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment