Thursday, November 21, 2013

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUFUNDISHA TUTION!!


Serikali ya Nchini Uganda imepiga marufuku masomo ya ziada ya nje ya ratiba ya masomo maarufu kama TUITION,
Msemaji wa serikali wa wizara ya elimu amesema walimu wengi hupuuzia kutimza wajibu wao wa kufundisha wanafunzi mitaala halisi na kutegea kuja kufundisha wakati wa likizo,
Hali hiyo huzolotesha speed ya elimu na ufaulu wa wanafunzi wasio na uwezo wa kulipia masomo hayo.
......................................................................................................................................................
BONGOAFRIKA inapongeza hatua hiyo lakini inakumbuka kuwa hatua kama hiyo iliwahi kutolewa mwaka 2000 hapa nchini tanzania lakini ikashindwa baada ya wazazi kulalama juu ya watoto wa viongozi kusoma shule nzuri zenye kuwapa uwezo wa kufaulu na kuwaacha watoto wa hohe hahe wakilia tu.
 Na sasa tuition tz ni sehemu ya shughuli halali ya waalimu

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.