Monday, November 25, 2013
MZEE SLAA ASEMA...!!
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbroad
Slaa amesema chama chake leo kitajibu
hoja za utetezi wa Zitto Kabwe na
wenzake baada ya kuondolewa katika
nyadhifa zao na kusema kuwa hakuna
katiba inyaoruhusu mipango ya siri katika taasisi.
Je ni nini watakuja kuongea, je ni mashambulizi dhidi ya hoja za Zitto zilizoimarisha chama au nao wataongea kwa kuhakikisha hawawagawi wananchama!!?
Nategemea kusikia na kuona uwezo na kiwango cha uongozi ili watu watofautishe kiongozi na mcheza deal..
Hapa watu watajua mwenye mapenzi na chama ni yupi na mwenye aliyepania mtu ni nani.
Hapa tutajua anaeogopa washindani na anaesimama kuhoji ni nani
Hapa tutajua wajuzi wa kuongea kama vile wanakemea pepo kwa jina la shetani au wataamua kutoaharibu taswira ya chama.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment