- EMILY KISWAKA.. Ni mtaalamu wa utafiti na uchimbaji madini ametoa yake ya moyoni juu ya sakata linaloenedlea kati ya mzee mengi na Profesa Muhongo.
Ni dhahiri kuwa watu wengi hawajui gharama za oil n gas exploration. Brother ukiwa na data zote kama geological maps, seismic images na models zenye ushawishi bado unaweza ku drill hata 5 well na zote zikawa dry.Sidhani kama kuna mtanzania anaweza kuwa na pesa ya ku drill 5 dry wells. Vitu vingine mtu unaweza kusoma hata internet angalau unaweza kupata misingi ya kuongea kwa uhakika.Kuna watu wanaendelea kubisha kuwa muhongo amewatukana watanzania kusema kwamba ni wavivu wa kusoma na washamba wa mikataba ya kimataifa ilhali hawaku hangaika hata kutaka kujiuliza ni kwann muhongo alisema watanzania hawana pesa za kuendesha hiyo miradi.Sasa wanajua takwimu za tajiri gani Tanzania ana miliki kiasi gani cha pesa lakini wengi hawajui gharama halisi za uwekezaji katika mafuta na gas. - Kama imethibitika mzee Mengi ana uwezo huo au namna ya kukidhi hivyo vigezo haitakuwa vyema kumnyima nafasi hiyo. Kama kweli imethibitika anaweza wampe.
- Kigezo kikubwa kiwe ni uwezo wa kuwekeza sio uzawa, tukiendekeza uzawa tutajikuta tunakabidhi madalali badala ya wawekezaji.
Monday, November 18, 2013
MTAALAM WA UTAFITI NA UCHIMBAJI MADINI AMCHANA MENGI, AMPONGEZA MUHONGO
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Kama tunataka long plan ktk gas ni vizuri tuwatazame wazawa ktk kuwekeza ktk gas na kama ni short plan kwa maana ya kupata pesa haraka may be wazawa wanaweza wasifae kwa sasa,hasara ya kuwapa wawekezaji wa nje ni rahisi kulifanya taifa na watu wake watumwa wa rasilimali zao.
ReplyDelete