Friday, November 22, 2013
PETER MSIGWA AMRITHI ZITTO KABWE UNAIBU KATIBU MKUU CHADEMA
BONGOAFRIKA Imetarifiwa kuwa Mbunge wa Iringa Mjini ndiye ameteuliwa na Kamati kuu ya chadema kukaimu nafasi ya unaibu katibu mkuu wa chadema tanzania bara,
Habari zaidi zinasema hili limetokea kumkaimisha nafasi hiyo huku chama kikisubiri kama kutatokea maamuzi ya baraza kuu kutengua maamuzi hayo ya kamti kuu au la!!
BONGOAFRIKA itaendelea kuwaletea habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment