Wednesday, November 20, 2013

KINANA :VIONGOZI KAMA SITTA NA LOWASSA HAWAFAI

Kutoka Kwenye akaunt yake ya Twitter katibu mkuu wa CCM Mh, KINANA ABRAHAMAN, amenukuliwa akiwananga wanasiasa wanaotumia muda wa majukwaa wanayopata kusemana na kutupiana vijembe badala ya kueleza mikakati ya maendeleo.
Hata hivyo kiongozi huyo alishambuliwa na baadhi ya wachangiaji wanaomfuata kwenye akaunt yake kwa kumuhusisha na kuwa anaegemea kundi fulani la mtu asiyemtaja.

 

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.