KIJANA NICODEMUS TAMBO MAARUFU KAMA KIMETA WA MPUI AMETEULIWA KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA MKOA WA MOROGORO, KIJANA HUYO MWENYE TAMBO ZA UCHESHI PINDI ANAPOWANANGA WATANI ZAKE WA KISIASA HASA WA VYAMA VYA UPINZANI AMETEULIWA KUTOKA NAFASI YA KATIBU WA WILAYA YA BABATI CCM NA SASA KAPANDA CHEO HADI NGAZI YA MKOA KAMA MTENDAJI MKUU WA CHAMA MKOANI MOROGORO.
BONGOAFRIKA INAMPONGEZA SANA KIJANA KIMETA KWA HATUA KUBWA YA AWALI NA TUNAMUOMBEA AFYA NJEAMA NA MAFANIKIO MEMA.
No comments :
Post a Comment