Tuesday, November 19, 2013

HISTORIA YA DADA ANAEDAI KUBAKWA NA MZEE KAPUYA, HATARI SANA!!

ANAJULIKANA KWA MAJINA YA
(felista leylat na halima)

Historia yake:
Umbo dogo na mwonekano wake ndio unaomfanya binti huyu afanikiwe kudanganya na kuchpta pesa/vito atakavyo toka kwa watu aamuao.

Felista wa Kapuya ndiye yule binti aliyewahi kumtapeli mke wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma kupitia Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (Wama). Msichana huyo, alidai yeye ni yatima, akiishi kwa tabu sana,
Mama Salma akaingia mkenge na kumpa kiwanja Mbagala. Baadaye ilipokuja kujulikana, alishtakiwa kwa utapeli, akapelekwa mahabusu kwenye Gereza la Segerea, Dar es Salaam.
Felista alikiri kuwekwa Segerea kisha akajitetea: “Kuna watu walitaka kunigombanisha na Mama Salma

Felista, alishawahi kumuibia marehemu Steven Kanumba kamera, alipokwenda ofisini kwake, akijidai ni yatima na ana kipaji cha kuigiza, alipopata mwanya alimliza supastaa huyo ambaye alifariki dunia, Aprili 7, mwaka jana. Ukiachana na hilo la Kimei ambalo limetajwa na Kapuya, yapo matukio mengine Felista alishayafanya, ikiwemo kudanganya anasoma alipiwe ada, na sare za shule, kumbe ni ‘gia’ ya kupata fedha kwa njia ya utapel

felista ana miaka 21 na ni mama wa mtoto mmoja

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.