skip to main
|
skip to sidebar
PIGO LA PILI KWA LOWASSA By Yeriko Nyerer"""""
Pigo la Pili kwa Lowassa, bado la Tatu na la Mwisho!
ALIYEANDIKA ANITWA YERIKO NYERERE KULE JF Bwana Lowassa,
Nikupe pole nyingine baada ya ile ya juzi kati kukueleza vichomi
ulivyotegeshewa na ambavyo vimeanza kukuchinjia baharini tena kuleeeee
Nungwiiiii, Naam umepigwa kufuli kutojishughulisha na siasa za uongozi
mpaka mwezi wa pili mwakani,
Sasa ulijiandaa kuteka siasa kwamgongo wa katiba mpya, ikawa usiku ikawa
mchana, naaam leo Chenge kakulamba chenga ya kisigino, ndio
kakutelekeza, tena alfajiri tu.
Chenge kaiona pepo japo ni ya masika tu na kaniki haifuliwi kwa maji ya mvua.
Chenge hatunae tena kwenye anga la ukuu wa katiba mpya, sasa ni yuleyule
aliyekupeleka kibla mnamo 2007, si mwingine ni Samwel Sitta mbabe wako
kutoka CCJ.
Wayajua mapigo mawili yaliyo mbele yako??
Haya tutaftane.....
No comments :
Post a Comment