- Naam, tumekaa tukasikiliza kwa makini sana, leo nadhani tofauti ya shule/taaluma na mazoea ya mihemko inaonekana!!
Tofauti kati ya uwezo wa kudeal na issues na usemaji kwa ajili ya uhamasishaji imeonekana..
Kwa niaba ya Team Zitto nawashukuru wote mliofanikisha mkutano ule na wanahabari,
Ndugu wananchi wa Tanzania safari ya kusaka demokrasia ndani ya vyama vya siasa kwanza kabla ya kutoka kulia nje ya vyama vyetu kudai demokrasia inayominywa na watalwa inaendelea!!
Wasanii wote akiwemo mfalme wao Afande Sele kaka yangu na jirani yangu moro town...shukrani kwenu,
TFF na salam zenu kwa zitto na kumuona mtu muhmu wa kusimamia uwajibikaji na ulinziwa fedha za umma sasa mumempa kuwa mjumbe w kamati ya fedha ya TFF hii ni uthibitisho wa uwezo wake wa kusimamia uwazi na uwajibikaji.
Kaka Dr kitila Mkumbo simama imara nenda mbele sana sana!!
Mwanasheria wa kujitegemea kaka alsandro umenena vyema simama imara tutafika tu!
Sunday, November 24, 2013
ZITTO : SITOKI WANITOE WAO
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment