skip to main
|
skip to sidebar
TID ATUPWA MAHABUSU TENA!!
BAADA YA KUMPIGA DEMU WAKE TID ATUPWA MAHABUSU
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,
Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay
tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na
kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, Mariam Nnauye.
No comments :
Post a Comment