Monday, November 25, 2013
MSIGWA APANIKI AJIVUA....Soma hapa!!
Tangu jana mbunge wa iringa mjini amekuwa na tabia ya kukurupuka kuandika lugha za kejeli na zinazoelekeza kuwagawa wanachama wa chadema,
Msigwa ameaweka status nyingi sana akimnanga Zitto kuwa ana kundi kubwa la wasaliti wasiotakiwa kuonewa aibu bila ya hivyo anaweza kujiudhulu ubunge,
Mbunge huyo amajikuta katika wakati mugumu baada ya watu kumuona hana busara wala sitaha kwa wachangiaji waliomkosoa kwa kauli zake za hovyo,
Imefikia hatua ameamua kuwajibu hovyo kwa kuwaambia wao ni wanchama vivuli wasio na mchango katika chama hivyo hawana madhara kwake,
Hii inadhihirisha kuwa Msigwa hana uvumilivu wala busara kabisa za kuwa kiongozi wa wtu,.
Amewatishia watu kuwafungia kuwa friends zake,
Ngoja tumuulize msigwa swali, je anapokuwa msitari wa mbele kutukana na kuzushia watu anahisi wao sio binadamu au angekuwa ni yeye kazushiwa na kusutumiwa kiasi hicho angeweza kuvumilia?
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment