skip to main
|
skip to sidebar
Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE
Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE
Taarifa ni kuwa mkutano wa Zitto kesho utakuwa streamed LIVE online and on mobile na kutakuwa na streaming tweets
TEAM ZITTO & CO pia watastream huuu mkutano kupitia youtube na tovuti yake
Kwa kuonyesha jinsi gani wanavyojali mazingira copy ya Press statements
zitatolewa kwenye website ya ZITTOKABWE.COM hivyo waandishi wasitegemee
kuwepo kwa rundo la makaratasi.
Mkutano huu utahudhuriwa na waandishi wa ndani na nje ya nchi.
Stay tuned.
ZITTO ZUBERI KABWE - YouTube
Zitto na Demokrasia | Zitto na Demokrasia
No comments :
Post a Comment