Sunday, November 17, 2013

MENGI: KWA MGAWO HUU WA UMEME NINGEKUWA MIMI NDIYE PROFESA MUHONGO NINGEJIUZULU


Kutoka katika akaunt yake ya twitter Dr Reginal Mengi amemnanga hasimu wake ambaye waliyeingia kwenye mgogoro kutokana na issue ya uwekezaji kwenye vitalu vya gesi,

 Baada ya tanesco kutangaza mgawo wa umeme kwa mikoa iliyo kwenye grid ya taifa, sasa Mengi amnanga kijanja hapa namnukuu

 Mh Muhongo "Niwaambie Watz hakuna mgawo wa umeme na hautakuwepo" SasaTanesco yatangaza mgawo mikoa ya gridi ya taifa. Muungwana angejiuzulu

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.