Aliyekuwa mwenyekiti wa mkoa wa shinyanga, marehemu Shelembi aligombea ubunge shinyanga mjini na kushindwa kwa kura moja tu.
Baada ya sakata la unafiki na fitina za kumng'oa Marehemu chacha Wangwe umakamu mwenyekiti aliinuka na kusema haya..................
By Emmanuel Mwakajila
''Mjumbe
mmoja wa kamati kuu ya chadema,marehemu Shirembi,Aliwahi sema ni Lazima
chadema kama chama kifanye mazoezi ya demokrasia katika uendeshaji wa
chama,wasipo fanya hivyo kwasasa,basi wakichukua nchi watatumia bunduki
kuwafunga watu midomo na hata kuwapeleka detention.Rip Mzee ShirembiMagadula''
No comments :
Post a Comment