WEEK KADHAA ZILIZOPITA MTU ANAEITWA KENGEDUME ALIWEKA REPORT KWENYE JF AKIELEZA NJAMA ZA MBOWE NA KUNDI LAKE KUFANYA KIKAO KWAKE WAKIPANGA MBINU ZA KUMCHUKULIA HATUA ZA HILA ZITTO.
SASA HUYU KENGE DUME KUMBE NIANZE MIMIKUWA WA KWANZA KUAMINI TAARIFA ATOAZO, PIA KUNA TAARIFA YA CHADEMA KUJITEKA YAWEZEKANA ZOTE NI KWELI.
Taarifa ya KENGE DUME iko hapo chini!!
By KENGE DUME, JF.
ZITTO KUNG'OLEWA UNAIBU KATIBU MKUU,
Kikao kilifanyika nyumbani kwa Mbowe katikati ya mwezi
october kilihudhuriwa na LEMA, MNYIKA, WENJE, MSIGWA, SUGU NA BAUNSA AITWAYE
SWAI na KIJANA WA KICHAGA WALIYEMUITA KAMANDA.
Mbowe aliwafokea wabunge hao kuwa wamelala kijinga
wanamwacha Zitto anawakalia vichwani kama wake zake,
Lema aliinuka akiwa na kinywaji mkononi akaongea kwa hasira
sana na kutoa maneno mabaya Zitto kwa kusema kuwa ''huyu mtoto wa mlemavu tena
mtoto wa kubahatisha yuko peke yake kwa mama yake, halafu analeta ubavu wa
kujipima na watu tuliokulia mashimoni mererani''
Akatoa maneno mengi
makali yenye hasira na kuahidi kumnyamazisha mara moja tena kwa aibu kubwa,
Mbowe akauliza ni namna gani itakayotumika kummaliza zitto,
Lema akatetwa tena kwa kusema mie lengo langu asigombee
nafasi kabisa, tena apigwe pin mapema kabla ya michakato ya uchaguzi kuanza,
Lema akaahidi kumchokoza kwa mbinu yoyote ili ajibu kwa
hasira kutakakomsababisha kuwashutumu viongozi wa taifa kuwa wanahusika,
Akishawataja viongozi wa taifa hapo Dr Slaa ataambiwa
aitishe cc ya chama ili wajadili hilo swala, ili ifikie hatua ya mmoja wao
kupendekeza zitto kusimamishwa uongozi,
Wenje akahoji ni kwa namna gani mbowe ataweza kuwazidi hoja
akina beregu na prof. safari na mkumbo,
Mbowe akajibu kwa kejeli sana kuwa wajumbe wa kamati kuu ni
uteuzi wake kwa 40% sasa na hata hivyo watajadili na mwisho wa mjadala kura
zitaamua, akasisitiza kuwa yeye anatafuta namna ya kuletwa mjadala huo kwenye
cc tu,
Mnyika alikuwa kimya kwa muda mrefu lakini ilipofikia hatua
hiyo alitoa ushauri mwingine kuwa ili kuepuka chama kusionekane na taswira ya
ajabu ni lazima ateuliwe naibu katibu mkuu toka kigoma pia baada ya
kumsimamisha zitto,
Ushauri huo ulipingwa sana na Lema akitaka unaibu katibu
mkuu apewe mtu wa mbeya, alitoa sababu kuwa watu wa kigoma huwa hawatupani
kabisa mwisho wa siku atatusaliti na kumtetea zitto,
Mnyika aaliishiwa amani na kuomba ruksa kuwa mama yake mzazi
amempigia simu akimhitaji nyumbani na aliondoka majira ya saa5 usiku,
Lema aliponda sana kuwa mnyika ni sinichi wa hali ya juu
mwenye kuuma na kupuliza issue ambayo wenje aliunga mkono kuwa mnyika anajipendekeza
sana kwa mbowe na slaa na kuwachongea wenzake kuwa hawana uwezo wa kutumikia
kurugenzi za makao makuu,
Mbowe alipendeza mbinu ya kwanza ya kumuangusha zitto ni
kuwapiga chini watu wanaonekana kuunga mkono au wenye misimamo inayolenga kubalisha
uongozi wakimtaja mwigamba na kumpa lema kazi ya kumuondoa kabla ya november
kazi ambayo ameimaliza tayari,
Mbowe alitoa mwelekeo wa kuanza kazi kanda ya ziwa, kisha
kanda ya kati na kisha kanda ya magharibi kuhakikisha anaweka viongozi wa muda wenye
makidhi yake ili watakapomsimamisha zitto na uongozi kusiwepo na tishio la
chama kugawanyika kwani watakaottoa matamko ni viongzoi wa muda sio
walioondolewa,
Mbowe kwa sasa amefanikiwa kumsimika Kasulumbayi kwa njia
haramu, mbowe alipofika shinyanga alimwamuru mzee kasulumbayi akusanye watu
kwenye vyuo akampa pesa ya kukodi basi wale wajumbe feki wakapewa uongozi wa
hewa wa wilaya ili wafanye uchaguzi feki pia,
Mbowe anaendelea pia kufanya utafit w viongozi wenye
mitazamo ya kubadili uongozi wa chama ili awashugulikie,
MPANGO HUU ULIPANGWA KISHAMBA SANA KWANI MAPAKA SASA ZITTO
HAJANASA KWENYE MTEGO HUO KILA MUDA WANAJARIBU KUTAFUTA NAMNA YA KUMTAKA AROPOKE
BUT KAPIGA KIMYA
No comments :
Post a Comment