Saturday, November 16, 2013

Baba Askofu Dkt. BENDON BAGONZA wa Dayosisi ya Karagwe AMSHUKIA PROFESA MUHONGO

“Ukiona mtu anakuja kwako akiwa peke yake ujue mtu huyo ana matatizo; lakini ukiona kundi la wawili au watatu wanakuja kwako kiongozi, uwe na uhakika kuwa una matatizo na uwasikilize, wakijitokeza wanachama wa taasisi yako zaidi ya mmoja wakilalama juu ya jambo linalofanana juu ya yako kwa wakati tofauti jipime na ujigundue kuwa una matatizo” Maneno mazuri na ya busara ya Baba Askofu Dkt. Bendon Bagonza wa Dayosisi ya Karagwe kwa profesa Muhongo - paraphrased by Nyakarungu

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.