Mtangazaji na meneja wa vipindi wa ABOUD MEDIA morogoro, amefariki dunia leo asubuhi akiwa amelazwa katika hospitali ya Chuo Kikuu Sokoine,
Marehemu aliwahi kuvuma pia katika vipindi vya radio one hasa kwa kipindi cha mambo mseto na vipindi mbalimbali vya Itv ambako pia alikuwa mkurugenzi.
Marehemu alifariki akiwa amelazwa katika hospitali hiyo, kwa historia ya ugonjwa alikuwa akisumbuliwa na kisukari kwa muda mrefu.
Marehemu ameacha mjane na watoto watatu
Kwa sasa mwili wake umepelekwa hospitali ya mkoa ya morogoro mapaka hapo taratibu nyingine zitakapotangazwa kuhusu utaratibu wa mazishi.
SOURCE: ABOUD RADIO NA MIMI NIMEHUDHURIA SASA.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment