Monday, January 6, 2014

MBOWE ATANGAZA MFUMO MPYA WA KUJIKIMU KWA WANACHAMA WAKE!

 

"Mimi ni mbunge, bungeni nimekuwa nikichangia watu mbalimbali mimi kama Freeman, si ajabu watu wengine kunichangia.
Hapa jambo la msingi ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa pesa na Kikwete au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa sababu zipi, kwa malengo gani?”


(Source :Raia Mtanzania la leo.)

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.