Thursday, November 21, 2013

TANZANIA YASHIKA NAMBA 4 DUNIANI soma hapa chini ni jambo la kujivunia sana

 

 Tanzania imekuwa NCHI YA 4 ULIMWENGUNI (Baada ya Sweden, US na Maldives) kuwa na HOTELI CHINI YA BAHARI. Hoteli inaitwa Manta Resort, iko Pemba. Gharama yake ni $1,500 per night.

Source: BBC

1 comment :

  1. hiyo ni sifa au ujinga? hoteli hiyo inamsaidia nani? mwekezaji na matajiri wenzake? au yakusaidia wewe? au je yawasaidia watanzania wa kiwango cha kawaida ambao ndo wengi? dola 1500 kwa usiku ndo faraja kwako?

    ReplyDelete

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.