Wednesday, November 20, 2013

SABODO AUNGA MKONO KWAO ZITTO

Kada wa chama cha Mapinduzi Mustafa Sabodo ametoa sh milioni 30 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya chadema katika jimbo la Mbogwe wilaya ya Kibondo Kigoma.

 Sabodo amekabidhi fedha hizo jana kwa Kada wa Chadema Arcado Ntagazwa mbele ya Katibu mkuu Dr Wilbrod Slaa.

 Sabodo amesema ametoa fedha hizo kukiunga mkono chama hicho katika jitihada zake za kutetea wanyonge,pia Sabodo ameahidi kuendelea kukisaidia chama hicho kila itakapohitajika. 

 

Source Tanzania Daima.

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.