Taarifa ni kuwa mkutano wa Zitto kesho utakuwa streamed LIVE online and on mobile na kutakuwa na streaming tweets

TEAM ZITTO & CO pia watastream huuu mkutano kupitia youtube na tovuti yake


Kwa kuonyesha jinsi gani wanavyojali mazingira copy ya Press statements zitatolewa kwenye website ya ZITTOKABWE.COM hivyo waandishi wasitegemee kuwepo kwa rundo la makaratasi.

Mkutano huu utahudhuriwa na waandishi wa ndani na nje ya nchi.

Stay tuned.

ZITTO ZUBERI KABWE - YouTube

Zitto na Demokrasia | Zitto na Demokrasia