Saturday, November 23, 2013

MAREHEMU SHELEMBI ALITABIRI YALIYOMKUTA ZITTO

 
 
 Aliyekuwa mwenyekiti wa mkoa wa shinyanga, marehemu Shelembi aligombea ubunge shinyanga mjini na kushindwa kwa kura moja tu.
Baada ya sakata la unafiki na fitina za kumng'oa Marehemu chacha Wangwe umakamu mwenyekiti  aliinuka na kusema haya..................
By Emmanuel Mwakajila
''Mjumbe mmoja wa kamati kuu ya chadema,marehemu Shirembi,Aliwahi sema ni Lazima chadema kama chama kifanye mazoezi ya demokrasia katika uendeshaji wa chama,wasipo fanya hivyo kwasasa,basi wakichukua nchi watatumia bunduki kuwafunga watu midomo na hata kuwapeleka detention.
Rip Mzee ShirembiMagadula''

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2013. BongoAfrica - All Rights Reserved.